Ibraah – Nitachelewa

Ibraah – Nitachelewa

Ibraah Nitachelewa Download Mp3

Ibraah Nitachelewa Mp3 Download. From our music medicine journal comes this dope track Nitachelewa proudly delivered by Ibraah.

Lyrics: Nitachelewa
Aaah uuh ooh oh, ooh chingaAh ah aaaah ahAaah uuh ooh oh, ah ah ah
Yeah sijui hata nifanyejeSijui hata nifanye nini meMaana hata siaminiHmn no hoNilikula kiapo nikungojeIla bado haiingi akiliniMaana nishakula ya mini yaweEh kwa mashogazo ulichota mafumboNgoja ngoja inaniumiza tumboMasikini umeshafata mkumbo, yaani umesepaUmeziacha zimejaza na rundooNa una ponda yangu fupi myundoEti unaning’ong’a, tajiri wa uvundoNdio chanzo umeniteka, aahNa naimani nitajijengeaNisikuwaze kwa ubaya kwa ubayaMaana before nlitimiaLeo uwe mfano wa bandama umebandukaLabda yango nyota imefifia wamekuteka we ah we ahSimanzi imenielemea shilingi imepinduka Kama usiporudi (nitachelewaa)Oh oh (kupona nitachelewa)Ah Nitachelewam mama (nitachelewa)Hmm Hmm (kupona nitachelewa)Kupona maradhi ya moyo (nitachelewaa)Yeah (kupona Nitachelewa)Kama sio wewe nani tena (nitachelewaa)Oh no (kupona nitachelewa)Nitachelewa mamaAh ah aah, hmmm yeahOh oh oh, yeahMi najaribu kujisahaulisha ila moyo unagoma, unagomaHasa nikikumba zako methali na nahauJapo unanionyesha dharauMoyo hautaki komaa, kukomaMwingine sitaki penda na usidhani ka nitakusahauOh maana vita penzi lako ntapiganaNikiamini utarudi we changamaMaana siko sawa ujue, mkuki kwa nguruweKwa binadamu mchungu (wanaogombana)Siku zote ndio wananopatanaAma unapenda mi ninavolalamaSijui nilipokosa ujueNa malengo ujueMimi najua wewe langu funguNa naimani nitajijengeaNisikuwaze kwa ubaya kwa ubayaMaana before nlitimiaLeo uwe mfano wa bandama umebandukaLabda yango nyota imefifia wamekuteka we ah we ahSimanzi imenielemea shilingi imepindukaKama usiporudi (nitachelewaa)Oh oh (kupona nitachelewa)Ah Nitachelewam mama (nitachelewa)Hmm Hmm (kupona nitachelewa)Kupona maradhi ya moyo (nitachelewaa)Yeah (kupona nitachelewa)Kama sio wewe nani tena (nitachelewaa)Oh no (kupona nitachelewa)Nitachelewa mamaChinga, Konde music world wideYeah yeah yeah yeah yeah

Listen online and The Lyrics, Video of your favorite Music.

Stream, Listen and Download Below.

 

Download Song Zip

DOWNLOAD MUSIC

Download Full Zip Album

MP3 DOWNLOAD FAKAZA