Ibraah – Nimepona

Ibraah – Nimepona

Ibraah Nimepona Download Mp3

Ibraah Nimepona Mp3 Download. From your relaxation balcony, enjoy this amazing flow of online anthem by Tanzanian recording artist and Konde Music World Wide serial hitmaker, Ibraah which is called Nimepona.

MP3 DOWNLOAD

Lyrics: Nimepona

Mmmh mmh aah ah(Wambaga Made it)
Eh kutwa namwomba Mungu anijalieMaumivu mbali yanipitieMaana hayaeleweki haya, hayasomeki mapenziNami nimpate wa kwangu atulieMwenyewe tu nijisevieMaana hayaeleweki haya, yamejaa u-fake mapenzi
Na yasiwe ya kupostiana, na vikopakopa kwa mitandaoTena n’choresha, tena nogeshaChonde asiwe ya kufokafoka, mwisho yakaniacha na stress kibaoAdeke na kun’chekesha, mvua ikinyesha yeh, eeh
Asije ninyanyapaa, awe mkweli tu asijeongopaMwenzenu kuteswa naogopa aahAsiwe na mipasho kama Khadija KoppaTupendane, wasimteke VibopaYasiwe ya Konde na Wolper ah, kila siku michambo
Nataka nimpende, anipende nami nimpendeAnipende yaani nimpende eehNataka nimpende eh, mwenzenu nataka nimpendeAnipende, nami nimpende, anipende yaani nimpende, anipende eehAnionyeshe upendo mpaka nijisahau
Yeah eh, mmh lololoh mmhMi nakuna kuna, mi nakuna kuna oohMmmh mmh
Na asiwe wa kususasusa hata nikimwambia twende tukaogeAsiseme nikaoge mwenyewe, mwenyeweNa yangu asijeipangusa akili yangu, mwisho aikorogeAwe Harmo nitakacho nipewe, nipewe mmh
Awe yangu medali aah aahKwa kila hali na maliYaani ntakesha kwa Mungu nitasaliAah mabaya yasikupate, amwepusheNa kitandani asiwe bonge, atamaliza godoroAtulie, asimalize chochoroNisimfume, usiku wa kiza totoro
Yeh eeh tena asije ninyanyapaaAwe mkweli tu asijeongopaMwenzenu kuteswa naogopa aahAsiwe na mipasho kama Khadija KopaTupendane ka Rika na ChoppaYasiwe ya Konde na Wolper ah, kila siku michambo
Nataka nimpende, anipende nami nimpendeAnipende yaani nimpende eehNataka nimupende eh, mwenzenu nataka nimpendeAnipende, nami nimpende, anipende yaani nimpende, anipende eehAnionyeshe upendo mpaka nijisahau
Chinga, Konde Music WorldwideMmh eh mmh eh (The Mix, The Mix)Chinga, Konde Music WorldwideMmmh mmh

Listen online and enjoy The Lyrics, Video of your favorite Music.

Stream, Listen and Download Below.

Mp3 Music Download: Ibraah – Nimepona

Download Song Zip

Download Music

Download Full Zip Album