VIDEO: Diamond Platnumz – Chitaki
|Diamond Platnumz Chitaki Download Video
Diamond Platnumz Chitaki Video Download. The well known singer Diamond Platnumz, comes through with the deluxe dance hall vibe entitled Chitaki.
Listen online and enjoy The Lyrics, Video of your favorite Music.
Stream, Listen and Download Below.
Lyrics: Chitaki
We ndo kitumbua we ndo sambusa
Basi njoo unichumu baby, ndio tuseme umesusa? We ndio mwisho wa reli, kwako nimeweka nukta Walokuambia nala zuchu, sio kweli wanazusha Wanaokaa vikao sisi kutujaji Wape pole yao wanatwanga maji Na waongeze bidii kwenye urogaji Tuko Ten GB penzi full charge Fanya wainama, wainuka Kiguu kinyanyue kama unatupa Yani wainama, wainuka Kiguu kinyanyue kisha weka nuktaMi kuachana na wewe aku chitaki chitaki
Chitaki chitaki chitaki chitaki mi Kuachana na wewe chitaki chitaki Chitaki chitaki chitaki chitaki miMchana nikupe tango, usiku ndizi swadakta
Tuanze fanya mambo, kabla umeme hawajakata Mapenzi mwenzie kiwango, na umejaaliwa talanta Na unanijua kwa jambo, hatoki mtu kwa mkapa, ee aah! Amuli chichichi amuli chachachacha Kamoyo tititi nimeozaje sasa Amuli chichichi amuli chachachacha Kamoyo tititi nakuachaje sasa Wanaokaa vikao sisi kutujaji Wape pole yao wanatwanga maji Na waongeze bidii kwenye urogaji Tuko ten GB penzi full charge Basi fanya, fanya wainama wainuka Kiguu kinyanyue kama unatupa Yani wainama, wainuka Kiguu kinyanyue kisha weka nuktaMi kuachana na wewe aku chitaki chitaki
Chitaki chitaki chitaki chitaki mi Kuachana na wewe chitaki chitaki Chitaki chitaki chitaki chitaki mi