VIDEO: Diamond Platnumz – Chitaki

Diamond Platnumz - Chitaki

Diamond Platnumz Chitaki Download Video

Diamond Platnumz Chitaki Video Download. The well known singer Diamond Platnumz, comes through with the deluxe dance hall vibe entitled Chitaki.

MP3 DOWNLOAD

Listen online and enjoy The Lyrics, Video of your favorite Music.

Stream, Listen and Download Below.

Lyrics: Chitaki
We ndo kitumbua we ndo sambusaBasi njoo unichumu baby, ndio tuseme umesusa?We ndio mwisho wa reli, kwako nimeweka nuktaWalokuambia nala zuchu, sio kweli wanazushaWanaokaa vikao sisi kutujajiWape pole yao wanatwanga majiNa waongeze bidii kwenye urogajiTuko Ten GB penzi full chargeFanya wainama, wainukaKiguu kinyanyue kama unatupaYani wainama, wainukaKiguu kinyanyue kisha weka nukta
Mi kuachana na wewe aku chitaki chitakiChitaki chitaki chitaki chitaki miKuachana na wewe chitaki chitakiChitaki chitaki chitaki chitaki mi
Mchana nikupe tango, usiku ndizi swadaktaTuanze fanya mambo, kabla umeme hawajakataMapenzi mwenzie kiwango, na umejaaliwa talantaNa unanijua kwa jambo, hatoki mtu kwa mkapa, ee aah!Amuli chichichi amuli chachachachaKamoyo tititi nimeozaje sasaAmuli chichichi amuli chachachachaKamoyo tititi nakuachaje sasaWanaokaa vikao sisi kutujajiWape pole yao wanatwanga majiNa waongeze bidii kwenye urogajiTuko ten GB penzi full chargeBasi fanya, fanya wainama wainukaKiguu kinyanyue kama unatupaYani wainama, wainukaKiguu kinyanyue kisha weka nukta
Mi kuachana na wewe aku chitaki chitakiChitaki chitaki chitaki chitaki miKuachana na wewe chitaki chitakiChitaki chitaki chitaki chitaki mi

 

Download Song Zip

Download Music

Download Full Zip Album