Professor Jay – Nikusaidiaje Ft Ferooz

Professor Jay - Nikusaidiaje Ft Ferooz

Professor Jay Nikusaidiaje Download Mp3

Professor Jay Nikusaidiaje Mp3 Download. With assist from Ferooz, Professor Jay has delivered to us a production that hits right in the feels via Nikusaidiaje.

Lyrics
Umesahau ulipotoka hujui unapokwendaUkapata kiburi kuona mi nakupendaNilikuthamini na letu penzi kulienziNa leo siamini kama umenisaliti mpenzi
Kumbuka nilikukuta kijijini sigimbiUmebeba mahindi na furushi la magimbiNguvu ziliniishia mithili ya kufa majiNafsi nayo ikakidi kwamba mimi nakuhitaji
Kigoli mwenye umbo kama la mdoriWala sikutaraji ungepiga nami storiNilifurahi kuweza kukufahamuNa nikakuahidi subiri zangu salamu
Kwa kuwa nilikwenda tu kumtembelea bibiYote yaliyojiri tu kumweleza ilibidiWote walishangaa kusikia namtaka mchumbaKwani vijana wengi wa mjini tuna kasumba
Wakaweka kikao ndiposa niweze kutoa posaNiliapa kujua iwapo ningekukosaWalinikabidhi nirudi nawe mjiniNa nikakusisitiza mjini kuwa makini
Nafsi yangu nilikupa uitunze mpenziAnasa za jiji zikakuchanganyaMapenzi ukasaliti na ukanikanaUkaniacha dunia ikiniandama
Kuwa nawe haitawezekana mpenziNshampata ambae tunapendanaMajeraha makubwa yajadui moyoniMi nimeshamuachia maulana
Alikuwa mzuri mithiri ya malaikaAlipotua mjini Zubeda ni patashikaHakika alionekana alikuwa mgeni wa jijiNIlipovua viatu nilivikuta ndani ya friji
Alifanya vibwenga washikaji wakanichekaHakutaka kitanda alilala kwenye mkekaAlipokuwa akiona magari alikimbiaAkimuona mtu kwenye TV anamuamkia
Kila alichofanya alikuwa anakoseaNilimvumilia kwa kuwa hajazoeaHakai kwenye sofa alikuwa anakaa chiniMafuta ya kupikia eti anayapaka mwilini
Namnunulia soda hataki anataka togwaNikimletea keki hataki anataka bogaMajirani walimpenda sababu ya uzuri wakeNasikitika mashangingi wakawa rafiki zake
Akaanza kunywa pombe alipokwenda kusukaUsiku anatoroka tena kwa kuruka ukutaNilipokuwa natoka, nae nyuma antokaNikimtuma kitu anadai eti amechoka
Nikienda kazini ndani analeta mabwanaMagari ya kifahari yakawa yanapishanaHakika starehe za dunia zikamtendaNa hatimaye hata nyumbani pia akatoweka
Nafsi yangu nilikupa uitunze mpenziAnasa za jiji zikakuchanganyaMapenzi ukasaliti na ukanikanaUkaniacha dunia ikiniandama
Kuwa nawe haitawezekana mpenziNshampata ambae tunapendanaMajeraha makubwa yajadui moyoniMi nimeshamuachia maulana
Nilipigwa na butwaa, mtaani walinishangaaNilikosa raha hata nafsi ilikata tamaaSikujua huyu binti ni mzima au amekufaIlibidi niombe watu msaada wa kumtafuta
Kumbe anaonekana viwanja vya kila ainaLeo yuko na mzungu na kesho yupo na mchinaNilipata shahuku ya kutaka japo kumuonaIngiwa niliamini moyoni ingenichoma
Kweli tulimtafuta kwenye kumbi tofautiIli nihakikishe kweli hajapatwa na mautiNikamkuta casino la wadachi na walatinoAkigonga mvinyo, wa hashipapi, hashipinyo
Pechiechipinyo na pamba za mandarinoMacho yalinitoka mithiri ya zingonginyoHakika alipendeza kwa staili alizochezaNa kila aliyemtazama alitamani kumchombeza
Kwa pozi na dharau alijifanya amenisahauAkaniona takataka mbele ya washikadauIlibidi niondoke machozi yakinilengaShetani kashanitega na tunda langu kamega
Akapata mimba aliyempa hakumtambuaNa wote aliowafata eti wakakana kumjuaZubeda na mimba yake hakuwa na pakuishiHakujua ale nini na vipi apate ridhiki
Ghafla hifadhi yake ikawa ni stendi ya basiSiku nyingine mvua ilimnyeshea kupita kiasiAkarudi nyumbani eti arudiane namiKurudi kwao hataki, mi na familia ndani
Nafsi yangu nilikupa uitunze mpenziAnasa za jiji zikakuchanganyaMapenzi ukasaliti na ukanikanaUkaniacha dunia ikiniandama
Kuwa nawe haitawezekana mpenziNshampata ambae tunapendanaMajeraha makubwa yajadui moyoniMi nimeshamuachia maulana

Listen online and The Lyrics, Video of your favorite Music.

Stream, Listen and Download Below.

Mp3 Music Download: Professor Jay – Nikusaidiaje Ft Ferooz

Download Song Zip

DOWNLOAD MUSIC

Download Full Zip Album

MP3 DOWNLOAD FAKAZA