Diamond Platnumz Nimpende Nani Download Mp3
Diamond Platnumz Nimpende Nani Mp3 Download. High-rated Tanzanian Bongo Flava recording artist, singer, songwriter, Diamond Platnumz opts out a beautiful song hit tilted Nimpende Nani.
Listen online and enjoy The Lyrics, Video of your favorite Music.
Stream, Listen and Download Below.
Mp3 Music Download: Diamond Platnumz – Nimpende Nani
Lyrics: Nimpende Nani
Cha! Ah!
Nimpende nani? Nimpende, eh, eh Nimpende nani? Nimpende, ah-ah Nimpende nani? Nimpende, eh, eh Nimpende nani? Nimpende, ah-ahTai!
We nilikuwaga na mpenzi, akanizingua Hivyo nataka mwenzi wa haya maradhi naugua Isije siku miezi, naye akanisumbua Ikawa tena kitenzi, mzigo kuutuaNaogopa sana vijana wa sasa kwenye mapenzi
Wasije wakanitenda Nikazama na huba kwa mapenzi ya kweli Wakanicha wakaendaWe si unajua! Wazuri ni wengi lakini kumpata
Mwenye mapenzi ya ukweli ndio balaa Wengi ni wajanja watoto wa mjini Wamejawa utapeli, tamaaWazuri ni wengi lakini kumpata
Mwenye mapenzi ya ukweli ndio balaa Wengi ni wajanja watoto wa mjini Nimpende nani? (Cha, ah!)Nimpende nani? Nimpende, eh, eh
Nimpende nani? Nimpende, ah-ah Nimpende nani? Nimpende, eh, eh Nimpende nani? Nimpende, ah-ahYasiwe kama ya Wema Sepetu, kila siku magazeti
Ajue nidhamu na mila ya kwetu, mjuzi kupeti-peti Usimtake ka ‘Uwoya nimteme ana hasira, mpole kama Jokate Ila sauti ka’ Wema akiwa analia, kicheko kama cha FettyNaogopa sana vijana wa sasa kwenye mapenzi
Wasije wakanitenda Nikazama na huba kwa mapenzi ya kweli Wakaniacha wakaendaWe si unajua! Wazuri ni wengi lakini kumpata
Mwenye mapenzi ya ukweli ndio balaa Wengi ni wajanja watoto wa mjini Wamejawa utapeli, tamaaWazuri ni wengi lakini kumpata
Mwenye mapenzi ya ukweli ndio balaa Wengi ni wajanja watoto wa mjini Nimpende nani? (Cha, ah!)Nimpende nani? Nimpende, eh, eh (eh, eh, eh)
Nimpende nani? Nimpende, ah, ah (oh, nimpende nani?) Nimpende nani? Nimpende, eh, eh (mama-ma, eh, eh) Nimpende nani? Nimpende, ah, ah (mi nimpende nani?)