Diamond Platnumz – Nimpende Nani

Diamond Platnumz - Nimpende Nani

Diamond Platnumz Nimpende Nani Download Mp3

Diamond Platnumz Nimpende Nani Mp3 Download. High-rated Tanzanian Bongo Flava recording artist, singer, songwriter, Diamond Platnumz opts out a beautiful song hit tilted Nimpende Nani.

MP3 DOWNLOAD

Listen online and enjoy The Lyrics, Video of your favorite Music.

Stream, Listen and Download Below.

Mp3 Music Download: Diamond Platnumz – Nimpende Nani

Lyrics: Nimpende Nani
Cha! Ah!Nimpende nani? Nimpende, eh, ehNimpende nani? Nimpende, ah-ahNimpende nani? Nimpende, eh, ehNimpende nani? Nimpende, ah-ah
Tai!We nilikuwaga na mpenzi, akanizinguaHivyo nataka mwenzi wa haya maradhi nauguaIsije siku miezi, naye akanisumbuaIkawa tena kitenzi, mzigo kuutua
Naogopa sana vijana wa sasa kwenye mapenziWasije wakanitendaNikazama na huba kwa mapenzi ya kweliWakanicha wakaenda
We si unajua! Wazuri ni wengi lakini kumpataMwenye mapenzi ya ukweli ndio balaaWengi ni wajanja watoto wa mjiniWamejawa utapeli, tamaa
Wazuri ni wengi lakini kumpataMwenye mapenzi ya ukweli ndio balaaWengi ni wajanja watoto wa mjiniNimpende nani? (Cha, ah!)
Nimpende nani? Nimpende, eh, ehNimpende nani? Nimpende, ah-ahNimpende nani? Nimpende, eh, ehNimpende nani? Nimpende, ah-ah
Yasiwe kama ya Wema Sepetu, kila siku magazetiAjue nidhamu na mila ya kwetu, mjuzi kupeti-petiUsimtake ka ‘Uwoya nimteme ana hasira, mpole kama JokateIla sauti ka’ Wema akiwa analia, kicheko kama cha Fetty
Naogopa sana vijana wa sasa kwenye mapenziWasije wakanitendaNikazama na huba kwa mapenzi ya kweliWakaniacha wakaenda
We si unajua! Wazuri ni wengi lakini kumpataMwenye mapenzi ya ukweli ndio balaaWengi ni wajanja watoto wa mjiniWamejawa utapeli, tamaa
Wazuri ni wengi lakini kumpataMwenye mapenzi ya ukweli ndio balaaWengi ni wajanja watoto wa mjiniNimpende nani? (Cha, ah!)
Nimpende nani? Nimpende, eh, eh (eh, eh, eh)Nimpende nani? Nimpende, ah, ah (oh, nimpende nani?)Nimpende nani? Nimpende, eh, eh (mama-ma, eh, eh)Nimpende nani? Nimpende, ah, ah (mi nimpende nani?)

Download Song Zip

Download Music

Download Full Zip Album