BREEDER LW – Big Fat Cheque

BREEDER LW – Big Fat Cheque

BREEDER LW Big Fat Cheque Download Mp3

BREEDER LW Big Fat Cheque Mp3 Download. BREEDER LW opts out a beautiful song hit tilted Big Fat Cheque.

MP3 DOWNLOAD

Listen online and enjoy The Lyrics, Video of your favorite Music.

Stream, Listen and Download Below.

Mp3 Music Download: BREEDER LW – Big Fat Cheque

Lyrics
Yo! We was down but things got better,Big fat cheque juu ya meza,From the gutter nilifikia macheda,Lazima! Lazima! Tushike ma Acres,
Ghetto youth on a mission remember,Vile siku ziujaza calender,Kuna siku moja utaaja penya,Lazima! Lazima! Tushike ma Acres,
We was down but things got better,Big fat cheque juu ya meza,From the gutter nilifikia macheda,Lazima! Lazima! Tushike ma Acres,
Ghetto youth on a mission remember,Vile siku ziujaza calender,Kuna siku moja utaaja penya,Lazima! Lazima! Tushike ma Acres,
Yo, one man army kanairo ndani man’s on the road to riches,My bros never leave me hanging Tk mzima si imejaa ma sickhead,Mjuniour ako missing mbali na baby mom’s anadai nimlishe,But na fam ni fam na blood is thicker so mi sijai lose interest,Ma Oriji pekee no rejects, tulianza tenee from ages,Ni step by step on stages, na reminisce Niki sip I’m faded,One mic na merista zishuke zikifuatana ka Bible pages,Akikuja hajai vaa decent me naeza tell anadai some babies,
Ningeomoka na futa before nikakosa kujituma Nika flop,Never been lucky of course labda Baraka za Jah Jah ndio more,Hii German Kwa jam sio neutral na alele ni ya kariokor,Na mambang’a wakwende uko nilishikwa bila Ku break law,Mafan tour Inakam kuweni wapole kuna vitu na plan,Maisha wanaishi Kwa gram tofauti sana ukikuja Kwa ground,Budangu alijam nilimlet down I hope ata understand,Mi si pilot, engineer ama surgeon but I’m still the man,
Yo! We was down but things got better,Big fat cheque juu ya meza,From the gutter nilifikia macheda,Lazima! Lazima! Tushike ma Acres,
Ghetto youth on a mission remember,Vile siku ziujaza calender,Kuna siku moja utaaja penya,Lazima! Lazima! Tushike ma Acres,
We was down but things got better,Big fat cheque juu ya meza,From the gutter nilifikia macheda,Lazima! Lazima! Tushike ma Acres,
Ghetto youth on a mission remember,Vile siku ziujaza calender,Kuna siku moja utaaja penya,Lazima! Lazima! Tushike ma Acres,
Yo, ndakuchapia mbili tatu ya vile unaeza kuwa numero Uno,Ata ka msupa hupenda ma bad boy Usiwahi omba p*#y na fujo,Arif engineering graduate ako mtaani anakinda ma bull dog,Hapa Kenya ahadi no chocha, deep state ishageuzia Ruto,Bidii Bidii ndio najua, nikisema inakua ni sure,Shingo icy skia mafua *cough* *cough* mi naugua,One time for the time tulikosa chwani ya kijamo ya kumaliza pressure,Pesa imelost, mashake on sale wanauzia Nani hizo acres?Sikuhizi na pree ma Tesla, bank transfer no Mpesa,Ithaa pia ime enda enda matha analia nafaa kujenga,Opps niliskia wako emba? Niko Tassia na ma member,Operation kuwatenda Ching a man Hadi abaki mteja,Life is a gamble bruh, but Leo sio ka kesho man,Kwa mangoma nafaa kusnap but Leo nabonga facts,Niliface my fears one on one mi sijui ku relax,Na bleed Kwa beat, feel my pain naifanyanga from the heart,
Yo! We was down but things got better,Big fat cheque juu ya meza,From the gutter nilifikia macheda,Lazima! Lazima! Tushike ma Acres,
Ghetto youth on a mission remember,Vile siku ziujaza calender,Kuna siku moja utaaja penya,Lazima! Lazima! Tushike ma Acres,
We was down but things got better,Big fat cheque juu ya meza,From the gutter nilifikia macheda,
Lazima! Lazima! Tushike ma Acres,
Ghetto youth on a mission remember,Vile siku ziujaza calender,Kuna siku moja utaaja penya,Lazima! Lazima! Tushike ma Acres,
Budangu alijam nilimlet down I hope ata understand, Mi si pilot,engineer ama surgeon but I’m still the man,Ni step by step on stages, na reminisce Niki sip I’m faded,Mafan tour Inakam kuweni wapole kuna vitu na plan,

Download Song Zip

Download Music

Download Full Zip Album