Zuchu – Utaniua (Acoustic)

Zuchu – Utaniua

Zuchu Utaniua Download Mp3

Zuchu Utaniua Mp3 Download. Tanzanian favorite crooner, Zuchu spreads wings further by unleashing the Acoustic version of this impressive song titled Utaniua.

Lyrics: Utaniua

Eti lah lah lah lalalala lala lalaLah lah lah lalalala lala lala
Nna hamu mwenzenu nna hamu kuyahadithiaOh nna hamu tena nna hamu kuyasimuliaUtanii kama utani, Tulianza kimasiaraSikudhani sikudhani, Yatafikia mahalaAkiwa hapatikani hapaliki, SijalalaKanifanya kitu gani, Mbona imekua maraDua La kuku menipata mwewe Wallahi nyinyi ni mtihaniHata makosa ayafanye yeye mimi ndo naomba samahani
Ona anacheka kama mazuriAnajua kabisa amenteka kwake sina shughuliEti kumwacha naanzaje asa kusepa natoa wapi jeuriNa kwenye koma kaeka nukta kanitia na kufulii
Oh baby mimiapa taabani (Wewee utaniua niua)Nimeoza dah Yarrabi sihemi (Wewee utaniua niua)Ah hizo raha zakoo (Wewee utaniua niua)Roho yangu mali yako (Wewee utaniua niua)
Tukikosa stuli ni sunna kula kwenye mkekaUnijue vizuri nkinuna mie ndo nadekaUsije dhani kiburi uniache nkaja kuchekwaBaby raha ya shughuli mkunwa awe na hekahekaOoh usichokipenda wewe (Aaaaah ahh)Chunga na mimi usinifanyie (Aah aah)Mgomba wangu mwenyewe (Ahhh ahh)Eti ndizi nigombanie (Ahhh)Nipe penzi nilewe niyumbe nizimie ooh ringaKwangu upo mwenyewe kiboko yangu mie ooh vimba
Ona Anacheka kama mazuriSi anajua kabisa amenteka kwake sina shughuliEti kumwacha naanzaje asa kusepa natoa wapi jeuriNa kwenye koma kaeka nukta kanitia na kufulii
Aah eeh! baby mwenzako mimi taabani (Wewee utaniua niua)Chagua mwenyewe unizike unisafirishee (Wewee utaniua niua)Aah! hizo raha zakoo (Wewee utaniua niua)Roho yangu mali yako (Wewee utaniua niua)

Listen online and enjoy The Lyrics, Video of your favorite Music.

Stream, Listen and Download Below.

Download Song Zip

DOWNLOAD MUSIC

Download Full Zip Album

MP3 DOWNLOAD FAKAZA