Manvoice – Mama

Manvoice – Mama

Manvoice Mama Download Mp3

Manvoice Mama Mp3 Download. From our music medicine journal comes this dope track Mama proudly delivered by Manvoice.

MP3 DOWNLOAD

Listen online and enjoy The Lyrics, Video of your favorite Music.

Stream, Listen and Download Below.

Mp3 Music Download: Manvoice – Mama

Lyrics: Manvoice – Mama
Mama mwenye nyumba, mwenye nyumbaMama mwenye nyumba utaniua wee
Mi najiuliza maswali nihame niende mbaliKwa visa unavyo nifanyia mama (mama ehh)Mi namla humu dalali ndo kaniletea shaliMitego imenizidia jama (jamaa ee)
Ahh ah, kiti kipo akai akifua, akipika anainamaMama kiboko (mama kobokoo eeeh)Jana kani letea chai leo kaleta ubwabwa na nyamaNa kanga mokoo (na kanga moko eeh)
Anavyo nipa vishawishi mwishowe nashindwa jizuiaYata nifika mazishi mumewe aki nifumaniaKasema amfikishi mzee ana tumbo la beerMama anataka mwichi yani kisu kikachane pazia
Aaah, niue nisiue? (Uwa!)Apana mke wa mtu sumu, kuna jela na ghestiNami nyumba ninamajukumuNiue nisiue? (Uwa!)Wasije kunivutia ndumbu,Wazee wavilainishi wakapita mombasa na Kisumu
Mama mwenye nyumba, mwenye nyumbaMama mwenye nyumba utaniua weeMama mwenye nyumba, mwenye nyumbaMama mwenye nyumba utaniua wee
Nikimpa kodi anakataa anairudishaBill ya maji, bill ya umeme anazirudishaAah! Ah! Niki muamukia anakataa anajinunishaKweli n’gombe azeeki maini, anajibaebishaUsiku nagonga milango anakuja tupu-tupuAnanizuga samaki chambo tucheki movie za lufufuHajui nimetoka jando ananiforce mabusuNisije nikampa tango nikaishia kisutu
Nikileta vimada visa, majanga shetani kapandishwaOh Mama! Mama! Mama! Mama! Yeah yeah(Mama aeh)Akaukagi kujipisha wivu ndo unamkasirishaOh Mama! Mama! Mama! Mama! Yeeh yeah(Mama aeh)
Aaah, niue nisiue? (Uwa!)Apana mke wa mtu sumu, kuna jela na ghestiNami nyumba ninamajukumuNiue nisiue? (Uwa!)Wasije kunivutia ndumbuWazee wavilainishi wakapita mombasa na Kisumu
Mama mwenye nyumba, mwenye nyumbaMama mwenye nyumba utaniua weeMama mwenye nyumba, mwenye nyumbaMama mwenye nyumba utaniua wee

Download Song Zip

Download Music

Download Full Zip Album