Alikiba – Utu

Alikiba - Utu

Alikiba Utu Download Mp3

Alikiba Utu Mp3 Download. Alikiba storms our music hub with this intense hit captioned Utu.

MP3 DOWNLOAD

Listen online and enjoy The Lyrics, Video of your favorite Music.

Stream, Listen and Download Below.

Mp3 Music Download: Alikiba – Utu

Lyrics: Utu
Yooooo!
You’re sweet like pipi mamaaI can fightI can kill someoneFor youBecause am in danger zone (oh no)This feeling feeling that am feelingIt’s too muchI see future, life with you is so brighterNakupenda sana, you know thatI’ll die for youOoh sweet heart, life with you is so sweeterNakupenda sana, you know thatNakupenda sana, you know thatYeah
Na hakuna kipya kwenye duniaOh my loveNa ndio maana tamaa nazizuiaOh my loveNatupa maelfu kwa mamiaIn this worldIla we pekee nimekuchaguaI swear to God
Na umebarikiwaUtu na utulivuUmebarikiwaUtu na utulivuLicha ya upole na uzuriUna utu na utulivuUmebarikiwaUtu na utulivuOhooo
Siku zote maumivu maumivuYapo kutufunzaTukipata furaha, jinsi gani ya kuitunzaHuko nyuma hukumuHukumu zilisha nikumbaNa mateso kung’ang’aniaPendo usipopendwaNiliforce kujificha kule kumbeChaka langu ni hapaSasa napewa amaniMapenzi yasiyo na mipakaAnanikanda huku mabeganiAnanishika na hapaMasage mgongoniYananilevya makopa
Na hakuna kipya kwenye duniaOh my loveNa ndio maana tama nazizuiaOh my loveNatupa maelfu kwa mamiaIn this worldIla we pekee nimekuchaguaI swear to God
Na umebarikiwaUtu na utulivuUmebarikiwaUtu na utulivuLicha ya upole na uzuriUna utu na utulivuUmebarikiwaUtu na utulivuOooh
AaaahNamuona yeye(Analia ninapougua)AaaahNamuona yeye(Akikesha ananiombea dua)AaaahNamuona yeye(Analia ninapougua)AaaahNamuona yeye(Akikesha ananiombea dua)

 

Download Song Zip

Download Music

Download Full Zip Album